Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِمَّنْ دَعَا إِلَى اللَّهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمسلمينَ..
وسلامٌ على المرسلين, والحمد لله ربّ العالمين
{Na Nikauli Gani Bora Kuliko Yule Anae Lingania Kwa Allah Akatenda Mema Akasema Mimi Ni Miongoni Mwa Waislamu},
Bismillah Alrahman Alrahim
Na Salam Kwa Mitume, Na Alhamdulillah Rabialamin..
Kwa'kutengana Kwao Bali Anasema Na Mimi Ni Katika Waislamu Alafu Anatafuta Kuwakusanya Na kuwafanya Wamoja Na Safu Yenu Moja, Hio Ndio Kauli Ilio Bora Na Hakuna Bora Kuliko hio Kauli Kwa Ku'walika kwenye Ukweli, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِمَّنْ دَعَا إِلَى اللَّهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمسلمينَ}
صدق الله العظيم [فصلّت 33]
Allah Ta3ala Asema:{Na Nikauli Gani Bora Kuliko Yule Anae Lingania Kwa Allah Akatenda Mema Akasema Mimi Ni Miongoni Mwa Waislamu}
Sadaqa Allah Al3adhim[Fussilat:33]
Ndugu Yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.