[ لمتابعة رابط المشاركــة الأصلية للبيـــان ]
28 - 05 - 2014 مـ
04:00 صباحاً
ــــــــــــــــــ
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Swala na Salam juu ya wote ma Nabi wa Allah na Mitume wake kutoka wa kwanza wao mpaka wa mwisho wao Muhammad Mtume wa Allah, Enyi Mulio Amini waswalieni wote na muwa’Salimu tasliman, Ama Baada ya hapo
Na ewe unae uliza kwa yale anayo yasema anae swali wakati akinuka kumaliza kuruku; Basi anasema Allah Akbar, Alafu atasimama sawa sawa Aseme yale alio tuamuru Allah Tuseme:
Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:111].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Mwombeni Allah (Mwenyezi Mungu), au mwombeni Rahman (Mwingi wa Rehema), kwa jina lolote mnalo mwita. Kwani Yeye ana majina mazuri mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo (110) Na sema: Alhamdulillah, Himdi zote ni za Mwenyezi Mungu ambaye hana mwana, wala hana mshirika katika ufalme, wala hana rafiki wa kumsaidia kwa sababu ya udhaifu wake. Na mtukuze kwa utukufu mkubwa (111) }
Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].
Ndugu Yenu: Al’imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
_________________
[ لمتابعة رابط المشاركـــــــــة الأصلية للبيـــــــــــان ]
01 - 08 - 1435 هـ
30 - 05 - 2014 مـ
04:17 صباحاً
ــــــــــــــــــ
(سمع الله لمن حمده) ( Samia Allahu liman hamidahu ) kwakua ni hususi kwa imamu anae swalisha; Anasema wakati anapo inuka kumaliza kuruku: Samia Allahu liman hamidahu, Ama wanao swali nyuma ya imam basi wanasema:
{الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِيكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ وَكَبِّرْهُ تَكْبِيرًا} [الإسراء:111]
Allah Ta3ala Asema:
Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:111],
Na anasema hivo baada ya takbira ya kuinuka kusmama sawa sawa bada kumaliza kuruku.
Na hivo hivo imamu anasema anapo inuka kusmama kutoka kumaliza kuruku:
{الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي لَمْ يَتَّخِذْ وَلَدًا وَلَمْ يَكُن لَّهُ شَرِيكٌ فِي الْمُلْكِ وَلَمْ يَكُن لَّهُ وَلِيٌّ مِّنَ الذُّلِّ وَكَبِّرْهُ تَكْبِيرًا}
[لا صلاة لمن لم يقرأ فاتحة الكتاب] صدق عليه الصلاة والسلام.
{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعاً لَسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ} صدق الله العظيم [الأنعام:159]
Allah Ta3ala Asema: { Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote } Sadaqa Allah Al3adhim [ Al’anaam:159],
Basi hapana budi kuhifadhi umoja wa safu yal waislamu.
Hivo hamujuwi kwamba Al’Imam Al’Mahdi Anafunga mikono pamoja na wale wanao funga kwenye Swala Zao Na Anawachilia mikono pamoja na wale wanao wachilia kwenye Swala Zao? Na nazidisha juu ya Raka zilio Faradhishwa, Na Anani’takabli Allah Swala Yangu, Na Anadika juu ya Raka zilio zidi ni nafli kwake, Na ananizidisha ujira mkubwa kuliko mimi nikiswali kama vile nilivo bainisha kwakua kuhifadhi umoja wa safu ya waislamu ndio ni muhimu kwa Allah ikiwa munajua, Vile kutengana inaleta kudhufisha kufeli waislamu na kuondoka nguvu yao alfu yaondoka duni ya kislamu yote, Basi Swalini pamoja na jamaa kama wanavo Swali wakati munapo kuwa kwenye Swala Ya Jamaa, Na kitu muhimu kabisa ni kwamba iwe hakuna Mchanga wa Al’Husein na kutokana na kumshirikisha Allah kwajili atakabali Allah Swala Zenu, Basi hapana budi muondoshe shirki kwa Allah na kutokana na Rii’aa na kuemeza bapa ya kichwa kwa kusudia kwa lengo isemekane ( Kwa wingi wa kusujudu )! Basi anamshirikisha Allah, Na Natowa Fatwa Kwa Haki na kwa haki nasema kwa idhini Ya Allah:
Hakika yule atakae kuemeza bapa la kichwa chake kwa kukusudia ili idhihirike alama ya Sujda kwajili aoneshe kwa ile alama basi hakika yeye anaingia kwenye upande wa shirki ilio fichika na yeye hajuwi kwamba amingia kwa shrki ya Riiaa ila yule ambae imetokezea alama kwa bapa ya uso wake bila kukusudia kutoka kwake basi Mola wao kwao ndio anae wajuwa na anatakabali Allah Swala zao.
Allahuma nimebalighisha Allahuma shuhudia.
Na Slam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
______________
الإمام ناصر محمد اليماني
17 - 10 - 1434 هــ
24 - 08 - 2013 مـ
04:37 صبــــاحاً
ـــــــــــــــــــــ
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Juu Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Yao walio wazuri Na wote waislamu katika kila zama na Mahali mpaka siku ya dini..
Na ewe mpendwa wangu kwa Allah Alie uliza kuhusu tafauti baina ya adhana na iqama na unasema: Na nini Tafauti baina yao? Na alafu nakupa fatwa kwa haki:
Hakika mwito wa iqama kama mwito wa swala ispokua unaongeza ndani yake ( Qad qamat Al’swala .. Qad Qamat Al’swal) Kabla- Allahu Akbar Allahu Akbar La ilaha Ila Allah.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
______________