Suali/ Jee Kweli Atawafufua Allah Watu Siku Ya Kiyama Mwislamu Na Kafiri Hali wakiwa
Tupu Uchi Hawana Vazi ?
س/ هل حقا يبعث الله الناس يوم القيامه المسلم و الكافر حفاة عراه ؟
Na Akajibu Yule Ambae Anae Ilimu Ya Kitabu Akasema
Allah Ta3ala Asema:
{يَا بَنِي آدَمَ قَدْ أَنزَلْنَا عَلَيْكُمْ لِبَاسًا يُوَارِي سَوْآتِكُمْ وَرِيشًا وَلِبَاسُ التَّقْوَى ذَلِكَ خَيْرٌ ذَلِكَ مِنْ آيَاتِ اللَّهِ لَعَلَّهُمْ يَذَّكَّرُونَ}..
{ Enyi wanaadamu! Tumekuteremshieni nguo za kuficha tupu zenu, na nguo za pambo. Na nguo za uchamngu ndio bora. Hayo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu mpate kukumbuka }
Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Usalim Tasliman- Na Wote Waislamu..
Wapendwa Wangu ma Anssar wanao uliza kuhusu haki kwamba kukashifu tupu ni kheze basi vipi atawakheze Allah mitume! Basi vipi Allah atamkheze Al Nabi Na Wale walio amini pamoja na yeye! Bali ju yao vazi kutokana na Nur, Na hilo vazi ni vazi la Taqwa katika maisha haya, Siku itakapo kususumuliwa ma siri basi itakua kilicho ndani dhahiri, Basi ambae alikua moyo wake katika Nur anaona basi atafanya Allah uhakika wake kwenye uso wake na kwenye mwili wake ndio itowe mwangaza mpaka inafinika kuona uchi wake siku ya kiyama. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَوْمَ لا يُخْزِي اللهُ النَّبِيَّ وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ نُورُهُمْ يَسْعَى بَيْنَ أَيْدِيِهمْ وَبِأَيْمَانِهِمْ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَتَممْ لَنَا نُورَنَا وَاغْفِرْ لَنَا إِنَّكَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ} صدق الله العظيم [التحريم:8].
Allah Ta3ala Asema: {siku ambayo Mwenyezi Mungu hatamdhalilisha Nabii na walio amini pamoja naye. Nuru yao inakwenda mbele yao na pande zao za kulia, na huku wanasema: Mola wetu Mlezi! Tutimilizie nuru yetu, na utughufirie! Hakika Wewe ni Mwenye uweza juu ya kila kitu} Sadaqa Allah Al3adhim [Altahrim:8].
Ispokua Nur ni ya wale ambao wamefwata uongofu wa kitabu basi nayo ni Nur kutoka Mola Mlezi wao. Akasema Allah Ta3ala:
Allah Ta3ala Asema: {Enyi wanaadamu! Tumekuteremshieni nguo za kuficha tupu zenu, na nguo za pambo. Na nguo za uchamngu ndio bora. Hayo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu mpate kukumbuka} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alaaraf:26].
Basi hio ndio vazi la ucha’Mungu inakua vazi ktokana na Nur inafinika tupu ya waumini, Basi hatowadhalilisha Allah; Bali lana na udhalilifu juu ya makafiri. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذَا قِيلَ لَهُم مَّاذَا أَنزَلَ رَبُّكُمْ ۙ قَالُوا أَسَاطِيرُ الْأَوَّلِينَ ﴿٢٤﴾ لِيَحْمِلُوا أَوْزَارَهُمْ كَامِلَةً يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۙ وَمِنْ أَوْزَارِ الَّذِينَ يُضِلُّونَهُم بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ أَلَا سَاءَ مَا يَزِرُونَ ﴿٢٥﴾ قَدْ مَكَرَ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ فَأَتَى اللَّـهُ بُنْيَانَهُم مِّنَ الْقَوَاعِدِ فَخَرَّ عَلَيْهِمُ السَّقْفُ مِن فَوْقِهِمْ وَأَتَاهُمُ الْعَذَابُ مِنْ حَيْثُ لَا يَشْعُرُونَ ﴿٢٦﴾ثُمَّ يَوْمَ الْقِيَامَةِ يُخْزِيهِمْ وَيَقُولُ أَيْنَ شُرَكَائِيَ الَّذِينَ كُنتُمْ تُشَاقُّونَ فِيهِمْ ۚ قَالَ الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ إِنَّ الْخِزْيَ الْيَوْمَ وَالسُّوءَ عَلَى الْكَافِرِينَ ﴿٢٧﴾} صدق الله العظيم [النحل].
Na kwa vile nyoyo zao zilikua katika ma kiza basi hivo hivo itakua uhakika wa undani wao ni dhahiri siku ya kiyama, Basi mutaona nyuso zao zimepigwa na weusi. Akasema Allah Ta3ala:
Allah Ta3ala Asema: { Na Siku ya Kiyama utawaona walio msingizia uwongo Mwenyezi Mungu nyuso zao zime pigea na weusi Je! Si katika Jahannamu makaazi ya wanao takabari (60) Na Mwenyezi Mungu atawaokoa wenye kujikinga kwa ajili ya kufuzu kwao. Hapana uovu utao wagusa, wala hawatahuzunika (61) Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa kila kitu, na Yeye ndiye Mlinzi juu ya kila kitu (62)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].
Kwa vile nyoyo zao zilikua ziko kwenye Kiza katika dunia basi yajigeuza hayo kua dhahiri yao siku ya kiyama, Na kama kwamba wamevishwa nyuso zao kipande cha usiku cha kiza. Akasema Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ كَسَبُواْ السَّيِّئَاتِ جَزَاءُ سَيِّئَةٍ بِمِثْلِهَا وَتَرْهَقُهُمْ ذِلَّةٌ مَّا لَهُم مِّنَ اللّهِ مِنْ عَاصِمٍ كَأَنَّمَا أُغْشِيَتْ وُجُوهُهُمْ قِطَعاً مِّنَ اللَّيْلِ مُظْلِماً أُوْلَـئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ} صدق الله العظيم [يونس:27].
Basi vipi itakashifiwa tupu ya ma wali wa Allah siku ya kiyama enyi ma3ashara ya wale wanao sema juu ya Allah waso kijua? Basi vipi mutawafanya sawa na wa halifu. Akasema Allah Ta3ala:
{إِنَّ لِلْمُتَّقِينَ عِندَ رَبِّهِمْ جَنَّاتِ النَّعِيمِ ﴿٣٤﴾ أَفَنَجْعَلُ الْمُسْلِمِينَ كَالْمُجْرِمِينَ ﴿٣٥﴾ مَا لَكُمْ كَيْفَ تَحْكُمُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [القلم].
Allah Ta3ala Asema: {Hakika wachamngu watakuwa na Bustani za neema kwa Mola wao Mlezi (34) Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu (35) Mna nini? Mnahukumu vipi (56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqalam].
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــ